Majaliwa aongoza kikao cha Mawaziri

0
120

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo ameongoza kikao kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.