Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 26, 2024 amekutana na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma.
Majaliwa amekutana na viongozi hao wa wafanyabiashara huku wafanyabiashara katika mikoa mbalimbali nchini wakiendelea na mgomo wa kufunga biashara zao.