lima waporomoka, nyumba zaharibiwa

0
359

Habari kutoka mkoani Mbeya zinaeleza kuwa zaidi ya nyumba 30 zimebomolewa baada ya mlima uliopo kata ya Itezi, Bonde la Uyole kumeguka na kuporomoka.

Watu walioshuhudia wamesema tukio hilo limetokea katika lipindi hiki ambacho mvua kubwa zinaendelea kunyesha.

Endelea kufuatilia TBC Digital kwa taarifa zaidi.