Kuji ateuliwa Kamishna TANAPA

0
358

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Musa Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).

Kuji alikuwa akikaimu nafasi hiyo.