KitaifaKikao cha Kamati Kuu ya CCMBy TBC - June 29, 20240339ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mwenyekiti wa Chama cyha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Jijini Dar es Salaam lrot Juni 29, 2024.