KIKAO CHA KAMATI KUU

0
138

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo.