Kesi ya Sabaya kuunguruma leo

0
145

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo wamefikishwa Katika mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Kwa ajili ya kusikiliza kesi yao inayowakabili.

Watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashtaka7 likiwemo kosa la uhujumu uchumi, kuongoza genge la uhalifu na rushwa