Kampeni ya fichua madeni kutinga Bungeni

0
262

Mbunge Dkt. Thea Ntara amewataka wabunge kumaliza kulipa mikopo ya elimu ya juu waliyokopeswa pindi wakiwa vyuoni

Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Dkt. Thea amesema azma ya serikali ni kuwapatia mikopo wanafunzi waliopo vyuoni bila kukwama.i

Amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imeanzisha kampeni inayoitwa Fichua yenye lengo la kuwafichua wote wenye madeni na hawataki kurejesha mikopo hiyo.

Kutazama video bofya kiunganishi (link) hapo chini

https://www.instagram.com/reel/C3DmNm3OsDR/?igsh=MTJqcjBpcXVuaDh5Yw==