JK asaini kitabu cha maombolezo

0
87

Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete, leo amesaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Uingereza nchini uliopo mkoani Dar es Salaam, kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa nchi hiyo kilichotokea tarehe 8 mwezi huu huko Scotland.