KitaifaJeshi la Polisi lamshikilia James Mwakateba kwa kosa la kukutwa na sare za JeshiBy Judith Ene Laizer - January 13, 20200205ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Jeshi la Polisi Mkoani Songwe linamshikilia mtuhumiwa mmoja aliefahamika kwa jina la James Mwakateba makazi wa Dar es salaam kwa kosa la kukutwa na sare za jeshi