Jeshi la Polisi kushirikiana na Viongozi wa Dini

0
67

Jeshi la Polisi nchini limeahidi kushirikiana na viongozi wa kamati za amani na Jumuiya ya Maridhiano nchini, ili kupunguza vitendo vya uhalifu.

Hayo amesemwa mkoani Dar es Salaam na Kamishna wa Polisi Lazaro Mambosasa wakati wa kongamano la kitaifa la maadili la viongozi wa dini wa kamati za Amani na Jumuiya ya maridhiano Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango