Mbunge wa Bumbuli, January Yusuph Makamba leo amekabidhi Ofisi ya Waziri wa Nchi (OMR) Muungano na Mazingira kwa Waziri George Boniface Simbachawene.
Simbachawene alieteuliwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mazingira akichukua nafasi ya January Yusuph Makamba