Mwonekano wa @idrissultan kwenye onyesho la kwanza ‘Premiere’ ya “Bridgerton” Season 3 nchini Afrika Kusini.
Bridgerton ni filamu ya kihistoria ya mapenzi kutoka Marekani iliyopikwa na Chris Van Dusen kwa ajili ya Netflix.
Chris Van Dusen kaipika Bridgerton kulingana na mfululizo wa vitabu vya Julia Quinn.
Bridgerton inahusu maisha ya kifalme na familia katika ulimwengu wa ushindani wa enzi katika miaka ya mapema ya 1800, ambapo vijana wenye hadhi ya juu waliofikisha umri wa kuoa/ama kuolewa hutambulishwa katika jamii.
#bridgertonseason3