Huduma ya Intaneti kwako ikoje ?

0
131

Huduma ya intaneti kwa saa kadhaa sasa imekuwa si ya kuridhisha kwa watumiaji wa mitandao tofauti tofauti ambapo baadhi ya watumiaji wanasema imekuwa ikikata na kurejea toka majira ya saa nne asubuhi leo Mei 12, 2024.

Lakini tambua shida si kifaa unachotumia bali ni tatizo linaloelezwa kuwa ni la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa
baharini.

Kwako hali ikoje ?.