Leo ni Siku ya Baba Duniani ambapo jamii katika mataifa mbalimbali hutumia siku hii kutambua mchango wa Baba katika familia na kuwapongeza akina Baba wote kwa nafasi zao muhimu ndani ya familia.
Baba ni nguzo muhimu ndani ya familia na hata jamii, huku akiwa mstari wa mbele katika kutoa mwongozo, upendo na msaada kwa familia wakati wote.
Siku hii muhimu ndani ya familia huadhimishwa kila Jumapili ya tatu ya mwezi June.
Hongera akina Baba wote.