Hali ilivyo Arusha baada ya mafuriko

0
754

Picha mbalimbali zikionesha hali ilivyo katika eneo la Kisongo mkoani Arusha kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha mkoani humo usiku wa kuamkia leo Aprili 11, 2024.

Mafuriko hayo yameleta athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusomba baadhi ya vitu kama magari na kubomoa nyumba.