Fahamu maana ya neno ARIDHIO linalotumiwa na TBC

0
1481

Ikiwa ni mwezi mmoja na siku 10 tangu Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) lilipokuja na mfumo mpya wa upashanaji habari, bado maswali yamekuwa mengi kuhusu maana ya neno ARIDHIO.

Tunamleta kwenu Dkt. Elizabeth Mhenge, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (USDM) atueleze maana ya neno hilo;