KitaifaEid jumamosiBy TBC - April 20, 20230164ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mufti wa TanzaniaSheikh Abubakar Zubeir amesema Mwezi haujaonekana, hivyo kesho Waumini wa dini ya Kiislamu nchini wanaendelea kufunga Ramadhani kukamilisha siku 30.Amesema,Sikukuu ya Eid El- Fitri Itakuwa tarehe 22 na 23 mwezi huu.