Dkt Mwakyembe ashuhudia ufanisi wa mitambo ya TBC Tanga

0
189

Mhandisi mkuu wa TBC Upendo Mbele akimweleza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kuhusu upokeaji wa matangazo yanayorushwa na TBC katika kituo kilichopo kijiji cha Kwemashai wilayani Lushoto mkoani Tanga.

Akizungumza katika eneo hilo mhandisi Mbele amesema uwepo wa mitambo hiyo umesaidia kuongeza usikivu katika wilaya ya Mvumero mkoani Morogoro ambao wanapokea matangazo kupitia kituo hicho.

Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe yupo mkoani Tanga kwa ziara ya siku mbili