Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dodoma katika uwanja wa ndege wa Dodoma, alipokuwa akiwasili kutoka Kigali, Rwanda ambapo alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika.