Chongolo awasili Mtwara

0
121

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo @daniel_godfrey_chongolo amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Katika uwanja wa ndege wa Mtwara, Chongolo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mtwara.