KitaifaCCM yaadhimisha miaka 46 tangu kuzaliwa kwakeBy TBC - February 4, 20230199ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo ameshiriki katika maadhimisho ya miaka 46 tangu kuzaliwa kwa chama hicho yaliyofanyika kimkoa kwenye uwanja wa Umoja uliopo Kasulu.