Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP

0
149

Rais Samia Suluhu Hassan amepandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Wambura aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.