Biteko amjulia hali mzee Mashishanga

0
142

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko, amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mkuu wa Mkoa mstaafu Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake Mtaa wa Forest, mkoani Morogoro leo Aprili 11, 2024.