Bernard Membe afariki Dunia

0
322

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Membe alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo hospitalini hapo na baadaye kufariki dunia.