Bei ya dagaa wa Kigoma yapungua

0
201

Upatikanaji wa dagaa wa ziwa Tanganyika maarufu kama wa dagaa wa Kigoma umeongezeka,  na kusababisha bei ya  bidhaa hiyo kushuka kutoka Shilingi Elfu  Thelathini kwa kilo Moja  hadi  kufikia Shilingi Elfu Kumi na Tatu.

Mwandishi wa TBC mkoani Kigoma, -Egidius Audax  ametembelea soko la Kibirizi  lililopo katika Manispaa ya Kigoma ambalo ni   maarufu kwa uuzaji wa dagaa hao.