BEI MPYA ZA MAFUTA

0
263

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 4 Mei 2022.

EWURA imesema asilimia 93 ya ongezeko la bei limechangiwa na mabadiliko ya bei katika soko la dunia.