BAWACHA tupo pamoja na wewe

0
131

“Tunajua wapo wanaokukatisha tamaa na wengi wao ni wanaume, sisi BAWACHA tunakuahidi kuwa pamoja na wewe na hatutakuacha kamwe.”

“Usikubali kushindwa kama wao walivyoshindwa, sisi tunakuahidi kuwa pamoja na wewe wakati wote na kamwe hatutakuacha songambele.” Catherine Ruge, Katibu Mkuu BAWACHA