Basi la Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma, likiwa na zaidi ya abiria 25, limepata ajali katika eneo la Kihonda kwa Chambo, Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imetokea majira ya saa 12:30 asubuhi, leo Mei 25, 2024. Taarifa zaidi zitatolewa.