KitaifaBalozi Mstaafu Siwa Mwenyekiti mpya bodi ya NSSFBy TBC - September 20, 201802658ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais John Magufuli amemteua balozi mstaafu Ali Idi Siwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).Uteuzi wa balozi Mstaafu Siwa unaanza Septemba 20 mwaka huu.