Athari ya mvua katika Barabara ya Chalinze-Segera

0
203

Uharibifu uliotokea katika barabara Kuu ya Chalinze – Segera eneo la Kimange wilaya ya Chalinze mkoani Pwani, baada ya kutokea kwa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini.