Arusha nako mgomo

0
215

Baadhi ya maduka katika Jiji la Arusha yamefungwa kufuatia mgomo wa wafanyabishara wanaolalamikia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja ongezeko la tozo na faini.

Hata hivyo Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wafanyabiashara mkoa wa Arusha ,Isa Kadege amesema tayari malalamiko ya wafanyabiashara hao yameanza kufanyiwa kazi na Serikali.

Amewasihi wafanyabishara mkoani Arusha kufungua biashara zao wakati wakisubiri majibu ya Serikali.