KitaifaAICC yatajwa kuwa mhimili wa sekta ya utaliiBy TBC - November 1, 2024088ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kimetajwa kuwa ni moja ya mihimili muhimu katika kufanikisha ajenda ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukuza sekta ya utalii nchini.