Aggrey Morris astaafu

0
122

Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Abdallah Ulega akimkabidhi Aggrey Morris mpira uliosainiwa na Wachezaji wote wa timu ya Taifa ya mpira wa Miguu (Taifa Stars), kama kumbukumbu ya kuitumikia timu hiyo kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi.

Aggrey Morris amestaafu leo katika mchezo wa kirafiki kati ya Stars na Congo DRC.