AFYA YA UZAZI: Simu inavyomuathiri mjamzito na mtoto

0
422

Matumizi wa simu yamezidi kushika kasi si tu Tanzania bali duniani kwa ujumla. Lakini umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani simu hizi zinaweza kuwa na athari za kiafya kwenye maisha ya watumiaji?

Wataalamu wa afya na saikolojia wameeleza namna matumizi ya simu yanaweza kumuathiri mama mjamzito pamoja na mtoto ambaye hajazaliwa.

Wasikilize wataalamu hao kwa maelezo zaidi: