40 YA HAYATI DKT. MAGUFULI

0
194

Mama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli akiwa na Mama Marry Majaliwa Mke wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakiwa na Mapadri wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay mkoani Dar es salaam mara baada ya kumalizika kwa Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Dkt. Magufuli ikiwa ni siku 40 toka afariki dunia.