Wakuu wa nchi za EAC wakutana

0
217

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mkutano maalum wa 20 wa wakuu hao wa nchi za EAC unaofanyika Bujumbura, Burundi.