Unaufahamu mji mkubwa zaidi duniani?

0
391

Mji wa Tokyo uliopo nchini Japan ni mji mkubwa zaidi duniani na wenye idadi kubwa ya watu kupita miji mingine yote.

Kwa takwimu za Novemba 2022 zilizoonyesha dunia imefikisha idadi ya watu Bilioni nane, pia ziliitaja Tokyo kuwa ina idadi ya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya Milioni 37 na eneo la 13,452 km2.

Nini kimesababisha Tokyo kuwa mji mkubwa zaidi na wenye idadi kubwa ya watu duniani?.

Tuandikie maoni yako hapo chini.

#tbconline#tbcupdates#tbcdigital