Mhubiri wa kimataifa kutoka Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu TB Joshua amefariki Dunia Juni 5, 2021 akiwa na umri wa miaka 57, kanisa lake limeeleza kupitia kurasa za mitandao ya kijamii.
TB Joshua ambaye ni mwanzilishi wa ‘The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN)’ alifariki baada ya kumaliza huduma kanisani kwake.
Tutaendelea kukuletea taarifa zaidi kuhusu kifo chake.