Mrembo wa Tanzania, Halima Kopwe @halima_kopwe ameingia katika 40 bora kwenye kwenye shindano la ulimbwende la dunia (Miss World) linaloendelea nchini India.
Hili ni shindano la urembo la dunia la 71 ambalo limeanza Februari 18, 2024 likiwa na washiriki 112 kutoka mataifa mbalimbali. Linahitimishwa leo Machi 09, 2024.
Hatua hiyo ni sawa na robo finali. Je, ataingia kwenye mchujo wa warembo 12 sawa na nusu fainali? Tumwombee