Sultan Qaboos bin Said wa Oman amefariki Dunia baada ya kuugua.
Kwa mujibu wa Television na Taifa hilo, sababu ya kifo chake haijawekwa wazi moja kwa moja lakini imeelezwa kuwa mwezi December 2019 alipelekwa Ubelgiji kwa matibabu.
Serikali ya Oman imetangaza siku 3 za maombolezo na bendera kupeperushwa nusu mlingoti