Saudi Arabia imepitisha sheria mpya inayowaruhusu wanawake wenye umri wa zaidi ya miaka 21 kusafiri nje ya nchi hiyo pasipo ruhusa ya mtu wa karibu ambaye ni Mwanaume.
Sheria iliyokua ikitumika hapo awali ilikua haimruhusu Mwanamke yeyote nchini humo kusafiri nje ya nchi bila ruhusa maalum kutoka kwa Baba yake, Mume wake au ndugu yeyote wa karibu ambaye ni Mwanaume.
Mwandishi Emmanuel Samuwel