Rais Buhari kutibiwa tena Uingereza

0
213
FILE PHOTO: Nigerian President Muhammadu Buhari speaks during a news conference during a visiit to Pretoria, South Africa, October 3, 2019. REUTERS/Siphiwe Sibeko/File Photo

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari anatarajiwa kusafiri kwenda London kwa ajili ya matibabu kwa muda wa wiki mbili.

Rais Buhari ameshutumiwa kwa kushindwa kuachia madaraka kwa Makamu wake kutokana na kuungua kwa muda mrefu na Katiba ya Nchi hiyo inamtaka aachie madaraka.

Rais Buhari pia amepingwa vikali kwa kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya matibabu wakati mfumo wa afya wa nchini kwake ukiwa unaendeshwa vibaya na kukosa fedha.

Rais Buhari amewasili Kenya kuhudhuria mkutano Baraza la Kimataifa la Mazingira na baada ya hapo ataelekea moja kwa moja mjini London