Muafrika wa kwanza ateuliwa kuongiza WTO

0
229

Bara la uendeshaji la Shirika la Biashara Duniani (WTO) limemteua Dkt. Ngozi Okonjo-Iweala kutoka Nigeria kuwa mkurugenzi mkuu wa Shirika hilo.

Okonjo-Iweala anakuwa mwanamke na muafrika wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu katika Shirika hilo.

Okonjo-Iweala ambaye ni mchumi aliyebobea anatarajia kuanza kazi rasmi tarehe 1 Machi, 2021.