MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA MAREKANI

0
195

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa pamoja kati ya Wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani, ambapo amesisitiza kuimarishwa kwa biashara kati ya mataifa hayo.

Mkutano huo umefanyika jijini New York nchini Marekani.