Mkutano wa sita wa Vijana katika Utalii unaofanyika katika Jiji la Windhoek, Namibia, umeendelea leo kwa siku ya pili huku mambo mbalimbali yakijitokeza.
Moja ya jambo kubwa lililovutia wengi ni washiriki kuvaa mavazi ya kitalii Navya asili yanayotafsiri mataifa yao. Kati ya makabila hayo ni Wamaasai kutoka Tanzania na Wahimba pamoja na Waherero kutoka Namibia.
✍🏾 @MargerethGeddy
📸 @nellyniceproduction