Marekani yaionya Iran kuhusu kulipa kisasi

0
266

Rais Donald Trump wa Marekani ametoa onyo kali kwa Iran na kusema tayari nchi yake imeorodhesha maeneo 52 ya Iran watakayoyashambulia kwa nguvu na haraka iwapo itamgusa raia yeyote wa Marekani au eneo lolote la nchi yake kama kulipa kisasi.

Jumamosi Iran yenyewe ilibainisha kuwa imeorodhesha maeneo 35 ya Marekani watakayoshambulia kulipa kisasi baada ya kuuwawa kwa Jenerali wa Jeshi la nchi hiyo Qassem Soleiman