Pizza ya kiitaliano lenye vionjo vya Zanzibar.

0
570

Kutana na Pizza ya kiitaliano yenye vionjo vya Zanzibar.

Pablo Palumbo ni mpishi mashuhuri wa piza Jijini Zanzibar, anasema kuwa Piza hizi zina vionjo vya kiitaliano vinavyofahamika kama “Basilico” na vionjo vya kizanzibari ambavyo ni nazi.

https://www.youtube.com/watch?v=yrgA5QWUhpI