Majaliwa katika mkutano wa pili wa pili Russia-Afrika

0
580

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Russia unaofanyika St. Petersburg nchini Russia.

Mkutano huo unaojadili masuala ya Uchumi na ubinadamu, unafanyika Julai 27 – 28, 2023.