Majaliwa azungumza na balozi wa Qatar

0
633

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na na Balozi wa Qatar nchini Hussein Bin Ahmad Al Homaid, ofisini kwake Oysterbay mkoani Dar es Salaam.